Advertisement
Advertisement

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amethibitisha kuwakosa Phil Jones na Eric Bailly kwenye Mechi ya Kesho dhidi ya Brighton kutokana na kuwa Majeruhi Vile vile Morinho amesema Pogba anaweza kucheza kwa takribani dakika 65 au 70 Ila zlatan yupo fiti .#mshindo_news_app update #link_on_bio

Advertisement
Advertisement